Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akizindua mpango
maalumu na endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchi kupata
trekta kwa bei nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB
Tanzania,anaeshuhudia kulia ni Diwani wa Kwadelo wilaya ya kondoa mkoani
Dodoma,Bw.Omary Kariati aliefanyikisha mradi huo na kununua
trekta(15)kwaajili ya wakulima nchini.Hafla hiyo ilifanyika Mikocheni
jijini Dar es Salaam jana.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akiwasha Trekta ikiwa
ni ishara ya uzinduzi wa mpango maalumu na endelevu wa kumuwezesha
mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta kwa bei nafuu kupitia
ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania, Hafla hiyo ilifanyika nyumbani
kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.Anaeshuhudia kulia ni Diwani wa
Kwadelo wilaya ya kondoa mkoani Dodoma,Bw.Omary Kariati aliefanyikisha
mradi huo na kununua trekta(15)kwaajili ya wakulima nchini.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akiangalia moja ya
Trekta kati ya(15) kabla ya kuzindua mradi endelevu wa kumuwezesha
mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta kwa bei nafuu kwa ushirikiano
na benki ya KCB Tanzania na Diwani wa kata ya Kwadelo Bw.Omary
Kariati.Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es
Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akiongea wakati wa
hafla ya uzinduzi wa mpango maalumu na endelevu wa kumuwezesha
mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta kwa bei nafuu kupitia
ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania na Diwani wa kata ya kwadelo wilaya
ya kondoa mkoani Dodoma, Bw.Omary Kariati wapili kushoto. Hafla hiyo
ilifanyika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wakuliama wa kata ya Kwadelo wilaya ya kondoa mkoani Dodoma
wakimsikiliza Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi,(hayupo
pichani)akiongea wakati wa makabidhiano rasmi wa Trekta(15)kuzindua
mradi endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta
kwa bei nafuu kwa ushirikiano na benki ya KCB Tanzania na Diwani wa kata
ya Kwadelo Bw.Omary Kariati.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akisalimiana na
Mkurugenzi wa ushirikiano wa kibenki wa benki ya KCB Tanzania,Bw.Frank
Nyabundege(kushoto)wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango maalumu na
endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta kwa bei
nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania na Diwani wa kata ya
kwadelo wilaya ya kondoa mkoani Dodoma, Bw.Omary Kariati(kulia). Hafla
hiyo ilifanyika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment