Wednesday, February 18, 2015

WAJASIRIAMALI, WASANII NA WANAHABARI WALIOSHIRIKI KWENYE MAONYESHO YA UTAMADUNI NCHINI OMAN, WAREJEA NCHINI

Naibu waziri wa Habari na utambaduni Utalii na Michezo Zanzibar .Bi Hindi Hamadi Khamisi akiwa uwanjani wa ndege wa kimataifa Zanzibar wa Abeid Karume akisubiri kuwasili kwa wajasiliamali,Wasanii na Waandishi wa habari waliokuwa nchini  Omani kw ajili ya maonesho ya Tamasha la Utamaduni yaliofanyika

wajasiriamali na waandishi wa Habari wliopata nafasi ya kwenda Oman kwa ajili ya kutangaza utamaduni wao wakipokelewa na Naibu Waziri waHabari  utamaduni  Utalii na michezo Zanzibar.


Naibu Waziri wa Habari  utamaduni utalii  utamaduni na michezo  Zanzibar Bi Hindi Hamadi wa mwanzo kulia akiwasalimia wasanii hao baada ya kuwasalimia  uwanjani hapo

No comments:

Post a Comment