Sunday, March 22, 2015

Wajasiriliamali wa zao la mlonge kupewa elimu


Kampuni ya IDEAL HELATH CARE inayojihusisha na utengezaji wa dawa za mlonge inatarajia kutoa mafunzo kwa wajasiriamali na wakulima ya kuzalisha zao la mlonge kibiashara. 

Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo JOHN KABUGI amesema katika mafunzo hayo wataweza kutoa elimu kwa wajasiriamali ya jinsi ya kulitumia zao hili ili kujiongezea kipato. 

KABUGI amesema kwamba pamoja na umuhimu wa zao hilo katika uzalishaji wa dawa za asili lakini bado halijaanza kulimwa kibiashara nchini.

1 comment:

  1. Naomba kujua kama wananunua mazao ya mlonge. Kwani nimeanza kulima. chaznewa@gmail.com

    ReplyDelete