Eastern Grade Farm
mvomero
Pages
Home
Our Magazine
Contact Us
Our Visions
Our Missions
Saturday, December 21, 2013
Shamba la pilpili hoho likiwa kando ya mto ruvu.
Friday, December 20, 2013
Shamba la matikiti linavyo shambuliwa na magugu, na kupoteza uzalishaji.
Monday, December 16, 2013
wataalam wetu wapo wapi?
Jamani nisaidieni ona kilimo kilimo chetu, ukweli umakini una hitajika zaidi kwa watu wetu.
Wakulima wa vitunguu wanavyo fanya mchezo na kilimo, hii sio sawa lazima bwana shamba wafanye kazi ya ziada ya kutembelea wakulima. Ukweli hali sio swari.
shamba linauzwa likiwa na mifugo yake ,maji na umeme na hati yake ipo bei nzuri karibu.
Ng'ombe wenye afya nzuri
Shamba hili liko Morogoro lina mbuzi 101, kondoo 79 na ng'ombe wa kisasa 144.Shamba lina ukubwa wa heka 1000.
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)