Friday, January 9, 2015

Hii ni sehemu tu ya kilimo cha mboga mboga, na muda sio mrefu tutaingia kwenye ufugaji wa kuku kuanzia kwenye yai hadi kuku kamili.
1,  Matayarisho ya Banda
2,  Usafi wa mazingira, kuondoa wadudu waharibifu
3,  Maji na vyakula.
Hili ni zoezi endelevu la kufundisha wahitaji mambo muhimu kuhusu kuku.
                              Jengo la kuhifadhia mazao ya shamba.
   Upandaji miembe ya kisasa.
Chakula cha mifugo
Ufugaji wa samaki wa kisasa .

Haya tende hizo!!!
Mboga mboga za ukweli, je hapo ndugu yangu kuna umasikini tena? Au utapia mlo?
Tazama hapo zinapo anza kuwiva, utaona utamu wa shamba.
Ona linavyo vutia  sehemu ndogo yenye mafanikio makubwa.
Mkulima akiangalia shamba lenye mafanikio makubwa.
Hiyo ni nyanya ya kisasa inakoa hadi ndoo kumi na kumi.
  • MAENDELEO YA KILIMO DUNIANI:
    Utunzaji mzuri wa aridhi hasa swala la kumomonyoka kwa eneo.Hii inna maana kwamba 
  • jinsi ya utunzji ardhi kwa maaendeleo.

Monday, January 5, 2015

HERI YA MWAKA MPYA WANA MTANDAO.
Napenda kuchukua fusahi kumshukuru Mungu kwa neema zake na kutufikisha leo hii, hii ni neema ya kipekee sana kwa kila mwanadamu. 2015 ni mwaka wa kuchapa kazi sana kulioko ule ulio pita.
Mungu atusaaidie sana na watakia kila la kheri wana mtandao.