UKULIMA WA VITUNGUU
ndugu zangu ambao mnabweteka na kutafuta kazi kuna kilimo
cha vitunguu, two years unakuwa mtu mwingine kabisa na huta penda
kuajiriwa na kama utakuwa kwenye ajira unaweza acha kabisa na kuamua
kuwa mkulima. Tusiwaze kuajiriwa tu tutakufa maskin mwisho wa siku. Mimi
nimejaribu na sasa nataka niache kazi na kuwa moja ya wakulima na
wafanyabiashara wakubwa wa vitunguu na mazao yote ya shamba kwa ujumla
ila pamoja na hilo bado nahitaji muongozo mkubwa kwa watu waliobobea
kwenye ukulima pamoja na biashara ya mazao ya shambani ili waweze
kunishauri zaidi. Mimi napatikana moshi pamoja na arusha ndiko
napofanyia biashara zangu. Please kwa yoyote ambaye amebobea kwenye
biashara hii zaidi naomba ani PM ili tuweze kupeana contact ili mkukuza
network na bidae kuweza kuanzisha kitu flani kwa manufaa yetu asanteni
sana na wakilisha.
nitafute 0753603760 tubadilishane mawazo, pia ni mkulima
ReplyDeletesawa kaka
ReplyDeleteNAOMBA USHAURI ,NATAKA KULIMA KILIMO HIKI CHA VITUNGUU KWA KUTUMIA MAJI YA BOMBA,VIPI INAWEZEKANA NILIME EKA 2 AU ZAIDI?
ReplyDelete