Tuesday, February 24, 2015

Vikundi vya wajasiriamali vyapatiwa cherehani 50


Meneja mauzo wa TDL, JOSEPH CHIBEHE
Kampuni ya bia ya Tanzania Distillers– TDL imetoa jumla ya cherehani 50 kwa vikundi vya wanawake wajasiriamali wa mkoani MBEYA ili kuviwezesha vikundi hivyo kuanzisha miradi ya ushonaji nguo.

Meneja mauzo wa TDL, JOSEPH CHIBEHE amesema cherehani hizo zitagawiwa kwa vikundi vya wanawake vilivyoko mkoani humo ili viweze kujikwamua kiuchumi

No comments:

Post a Comment