Friday, March 6, 2015

Wanawake mkoani KATAVI watakiwa kutambua fursa walizonazo

Mkoani KATAVI mwandishi wa TBC anaripoti kuwa wanawake wilaya ya MLELE wametakiwa kutafakari siku ya wanawake duniani kwa kutambua fursa walizonazo ili kuweza kubadili fikra na mtazamo wa kwamba wao ni tegemezi. 

Akizungumza katika uzinduzi wa wiki ya siku ya mwanamke duniani Kaimu Mkuu wa Wilaya ya MLELE EPHRASE TENGANAMBA amesema ni lazima kila mwanamke akatambua na kuwajibika juu ya majukumu aliyonayo. 

Wakati huo hun shirika Iba limetoa jumla ya dawati kumi kwa shule ya msingi inyonga kuchangia maendendeleo ya shule hiyo

No comments:

Post a Comment